Ad Code

Responsive Advertisement

#24: DESPAIR/KUKATA TAMAA



"We use things whose inventors tried and failed many times. In life, trying many times is the way to success. Don't be desperate. Keep trying."
~ 
"Tunatumia vitu ambayo aliyeigundua alijaribu na kushindwa mara nyingi. Katika maisha, kujaribu mara nyingi ni njia ya kuelekea kwenye mafanikio. Usikate tamaa. Endelea kujaribu."

Post a Comment

0 Comments

Close Menu