Posts

Showing posts from June, 2021

#50: MISTAKES/MAKOSA

Image
"Thank those who see your mistakes and tell you right in front of you. In this sophisticated world, these are valuable people to you and your life." ~  " Washukuru wanaoona makosa yako na wakakwambia. Kwenye dunia hii hao watu ni wenye thamani kwenye maisha yako ."  #49: CONFLICT/UGOMVI  ◀ ▶ #51:  Soon!

#49: CONFLICT/UGOMVI

Image
"There is no pleasure of conflict. It's easier to watch the fight than to be part of it. Those who fight are the ones who feel the pains of the fight." ~ " Ugomvi hauleti furaha. Ni rahisi kutazama ugomvi lakini sio kuwa mshiriki. Wagombanao ndio wanajua maumivu ya kugombana ."  #48: ARGUMENTS/HOJA ◀ ▶ #50: MISTAKES/MAKOSA

#48: ARGUMENTS/HOJA

Image
"Participating in debates and arguments makes a person stronger and wise. When we argue we possess the knowledge that we can use now and in the future." ~  " Kushiriki katika mijadala kunakomaza Akili. Tunapotoa hoja tunajifunza ujuzi tunaoweza kutumia sasa na baadae ."  #47: INSULTS/MATUSI ◀ ▶#49: CONFLICT/UGOMVI  

#47: INSULTS/MATUSI

Image
"To praise the person who insults others is like insulting others as well." ~  " Kumsifia mtu anayetukana watu ni sawa na kuwatukana watu vile vile ."  #46: MARRIAGE/NDOA ◀ ▶ #48: ARGUMENTS/HOJA  

#46: MARRIAGE/NDOA

Image
"Marriage is not a hook. Couples are the hooks." ~  " Ndoa sio ndoano. Wanandoa ndio ndoano ."  #45: HUMBLENESS/UNYENYEKEVU ◀ ▶#47: INSULTS/MATUSI

#45: HUMBLENESS/UNYENYEKEVU

Image
  "Be humble to those who do not know much as you do because their ignorance is what makes you look more knowledgeable than them." ~  " Kuwa mnyenyekevu kwa wale wasiowajua kama wewe kwa sanabu ujinga wao ndio unakufanya uonekane unajua kuwazidi ."  #44: ARROGANCE/KIBURI ◀ ▶ #46: MARRIAGE/NDOA

#44: ARROGANCE/KIBURI

Image
"Arrogance is not a treasure,  Arrogance is not a bank deposit, Arrogance is not gentle,  Arrogance is a debt." ~  " Kiburi sio hazina,  Kiburi sio benki,  Kiburi sio uungwana,  Kiburi ni deni ."  #43: INSULTS/MATUSI ◀ ▶ #45: HUMBLENESS/UNYENYEKEVU

#43: INSULTS/MATUSI

Image
"The only way to respond to the person who insults you is to say ' Thank you .' When he goes to bed, he will remember your word and regret his insults." ~  " Namna pekee ya kumjibu anayekutukana ni kusema 'Asante'. Atakapoenda kulala atakumbuka 'Asante' yako na kujutia matusi yake ."  #42: POLITICS/SIASA ◀ ▶#44: ARROGANCE/KIBURI

#42: POLITICS/SIASA

Image
"If the politician has a talent, what is the talent of the voter?"  ~  " Kama mwanasiasa ana kipaji, basi ni nini kipaji cha mpiga kura ?"  #41: GREEDINESS/TAMAA ◀ ▶ #43: INSULTS/MATUSI

#41: GREEDINESS/TAMAA

Image
   "Every human being eats according to what he has. The problem begins when we want to eat more than what we already have." ~  " Kila binadamu hula kulingana na alichonacho. Shida huanza pale ambapo tunahitaji kula zaidi ya vile tulivyonavyo ."  #40: WORLD/DUNIA ◀ ▶#42: POLITICS/SIASA

#40: WORLD/DUNIA

Image
"The world is a platform for acting both ordinary and unusual things." ~  " Dunia ni Uwanja was kuigizia vitu ya kawaida na visivyo ya kawaida ."  #39: BUDGET/BAJETI ◀ ▶ #41: GREEDINESS/TAMAA 

#39: BUDGET/BAJETI

Image
"The good budget is the budget you plan for yourself because it's easy to implement. The budget people plan for you is not your budget." ~  " Bejeti nzuri ni bajeti uliyopanga wewe mwenyewe kwa sababu ni rahisi kutekeleza. Bejeti ambayo watu wanakupangia sio bajeti yako ."  #38: TYRANNY/DHULUMA ◀ ▶ #40: WORLD/DUNIA  

#38: TYRANNY/DHULUMA

Image
"The lifespan of tyranny is short. Human rights live long." ~  " Maisha ya dhuluma ni mafupi. Haki za binadamu huishi kwa muda mrefu ."  #37: EARLY/MAPEMA ◀ ▶#39: BUDGET/BAJETI  

#37: EARLY/MAPEMA

Image
"The idea of thatching the roof of the grassy house should come early before the burning of the forests." ~  " Wazo la kuezeka nyumba ya nyasi linapaswa kuja mapema kabla ya kuungua kwa misitu ."  #36: EDUCATION/ELIMU ◀ ▶ #38: TYRANNY/DHULUMA

#36: EDUCATION/ELIMU

Image
"The lack of education is the lack of the world too." ~  " Kukosa elimu ni kuikosa dunia pia ."  #35: TIME/MUDA ◀ ▶#37: EARLY/MAPEMA

#35: TIME/MUDA

Image
  "If I can I could stop the Sun and allow it to go on only after finishing my work." ~  " Kama ningeweza ningesimamisha jua na niliruhusu lianze kwenda baada ya mimi kumaliza kazi yangu ."  #34: POWER/NGUVU ◀ ▶ #36: EDUCATION/ELIMU  

#34: POWER/NGUVU

Image
"The people with the same power do not bring about a good end. The coexistence of the powerful and the powerless is the good chemistry." ~  " Watu wenye nguvu sawa hawaleti mwisho mwema. Kuwepo kwa wenye nguvu na wasio na nguvu ndio mchanganyiko mzuri ."   #33: STRESS/SHINIKIZO ◀ ▶ #35: TIME/MUDA

#33: STRESS/SHINIKIZO

Image
"The stress is not a failure. This is one step towards victory." ~  " Shinikizo sio kushindwa. Hii ni hatua moja kuelekea kwenye ushindi ."  #32: RULE/UTAWALA ◀ ▶ #34: POWER/NGUVU  

#32: RULE/UTAWALA

Image
"He who rules during the night cannot rule during the day because he is afraid of the light. The one who rules during the day is the good one because everyone can see him." ~  " Anayetawala usiku hawezi kutawala mchana kwa sababu anaogopa mwanga. Anayetawala mchana ni mzuri kwa sababu anaonekana na kila mtu ."  #31: LOVE/MPENZI ◀ ▶ #33: STRESS/SHINIKIZO  

#31: LOVE/MPENZI

Image
"To search for the love of your life is like rowing a boat. The more you row the boat the more you go. Keep rowing until you get the love of your life."  ~  " Kumtafuta mpenzi wa maisha yako ni kama kupiga kasia. Kadiri unavyopiga kasia ndivyo unavyoenda mbele zaidi. Endelea kupiga kasia hadi umpate umpendae ."  #30: ANGER/HASIRA ◀ ▶ #32: RULE/UTAWALA  

#30: ANGER/HASIRA

Image
"Anger is like a dark cloud. If it spreads over you, you can't see the clear sky." ~  " Hasira ni kama wingu jeusi. Likitawanyika mbele yako, huwezi kuona vizuri ."  #29: ACCIDENT/AJALI ◀ ▶ #31: LOVE/MAPENZI  

#29: ACCIDENT/AJALI

Image
"Do not change the gear on the air. If you do so there will be no help during the accident. The land is the good place you can drive with confidence although you have to be cautious as well."  ~  " Usibadili gia hewani. Ukifanya hivyo hutapata msaada wakati wa ajali. Sehemu nzuri pekee ya kubadili gia ni chini ingawa unahitaji kuwa makini pia ."  #28: MESS/FUJO ◀ ▶ #30: ANGER/HASIRA

#28: MESS/FUJO

Image
"If you mess up, you have to pay. But it's your choice to pay for the mess you have not created."  ~  " Ukilikoroga ni lazima ulinywe. Lakini ni hiari yako kunywa ulilokorogewa ."  #27: LIFE/MAISHA ◀ ▶ #29: ACCIDENT/AJALI

#27: LIFE/MAISHA

Image
"Life is not straight like a ruler. Life is like a sugarcane. There is a hard and soft part of it." ~  " Maisha hayajanyoka kama rula. Maisha ni kama muwa. Kuna sehemu yenye fundo na isiyo na fundo ."  #26: GOD/MUNGU ◀ ▶#28: MESS/VURUGU

#26: GOD/MUNGU

Image
"God is one and is everywhere. Even if you do evils things in the darkness, He will see you, and he will not give you an ability to know the day he will punish you." ~  " Mungu ni mmoja na yuko kila mahali. Hata ukijifanya kumchezea ovyo gizani au kichakani atakuona tu, na hatakupa uwezo hata kiduchi wa kujua siku atakayokuadhibu ."  #25: HELP/MSAADA ◀ ▶ #27: LIFE/MAISHA

#25: HELP/MSAADA

Image
"It's a mistake for the inferior to be afraid of the superior. The superior is always the help to the inferior. Respect is the only thing to be considered." ~  " Ni kosa kumuogopa mkubwa. Siku zote mkubwa ni msaada kwa aliye mdogo. Heshima ndio jambo la kuzingatia ." #24: DESPAIR/KUKATA TAMAA ◀    ▶#26: HELP/MSAADA

#24: DESPAIR/KUKATA TAMAA

Image
"We use things whose inventors tried and failed many times. In life, trying many times is the way to success. Don't be desperate. Keep trying." ~  " Tunatumia vitu ambayo aliyeigundua alijaribu na kushindwa mara nyingi. Katika maisha, kujaribu mara nyingi ni njia ya kuelekea kwenye mafanikio. Usikate tamaa. Endelea kujaribu ." #23: RANKS/VYEO◀ ▶#25: HELP/MSAADA

#23: RANKS/VYEO

Image
"Social or academic ranks are useless if they do not represent the good deeds of those who have acquired them." ~  " Hadhi na vyeo havina maana kama haviwakilishi matendo mema ya wale walionavyo ." #22: POWER/NGUVU ◀ ▶#24: DESPAIR/KUKATA TAMAA  

#22: POWER/NGUVU

Image
"The people of the same power cannot live together. If they do, one of them has to reduce his power." ~  " Watu wenye nguvu sawa hawawezi kuishi pamoja. Hata wakifanya hivyo, lazima mmoja wao apunguze nguvu zake ."  #21: IGNORANCE/UJINGA◀ ▶#23: RANKS/VYEO

#21: IGNORANCE/UJINGA

Image
"Don't be angry if a person says you're ignorant because you are not sure whether he believes what he says. It is possible that he has been told what to say." ~  " Usikasirike mtu akikwambia huna akili, kwa sababu na wewe huna uhakika kama akili anazotumia ni za kwake. Yawezekana kabisa hata anayokwambia ameyaazima tu ." #20: USELESSNESS/HAINA MAANA ◀ ▶ #22: POWER/NGUVU  

#20: USELESSNESS/HAINA MAANA

Image
"It's useless to paint a wall with a shining colour while it is about to fall at any moment." ~  " Ni sawa sawa na bure kupaka rangi kwenye ukuta unaokaribia kuanguka ." #19: MADMAN/KICHAA◀   ▶#21: IGNORANCE/UJINGA   

#20: USELESSNESS/HAINA MAANA

Image
"It's useless to paint a wall with a shining colour while it is about to fall at any moment." ~  " Ni sawa sawa na bure kupaka rangi kwenye ukuta unaokaribia kuanguka ." #19: MADMAN/KICHAA◀ ▶#21: IGNORANCE/UJINGA  

#17: LEADERSHIP/UONGOZI

Image
"Leadership is to lead and hustle on behalf of the people you lead." ~  " Uongozi ni kuongoza na kuhangaika kwa niaba ya watu unaowaongoza ." #16: SORCERER/MCHAWI ◀ ▶ #18: LEADERSHIP/UONGOZI 

#19: MADMAN/KICHAA

Image
"The true madman does not wait to be told he is mad. He does crazy things." ~  " Kichaa wa ukweli hasubiri kuambiwa yeye ni kichaa. Hufanya mambo ya ukichaa ." #18: LEADERSHIP/UONGOZI ◀ ▶ #20: USELESSNESS/HAINA MAANA  

#18: LEADERSHIP/UONGOZI

Image
"There are leaders who lead by people by exercising what is written in official documents. However, there are leaders who lead by playing with peoples minds." ~  " Kuna viongozi wanaoongoza kwa kufuata yaliyo kwenye maandishi ili wapate suluhu, lakini kuna wengine wanacheza na akili za watu ." #17: LEADERSHIP/UONGOZI◀   ▶#19: MADMAN/KICHAA

#18: LEADERSHIP/UONGOZI

Image
"There are leaders who lead by people by exercising what is written in official documents. However, there are leaders who lead by playing with people's minds." ~  " Kuna viongozi wanaoongoza kwa kufuata yaliyo kwenye maandishi ili wapate suluhu, lakini kuna wengine wanacheza na akili za watu ." #17: LEADERSHIP/UONGOZI◀ ▶#19: MADMAN/KICHAA

#16: SORCERER/MCHAWI

Image
"The witch may be the member of the Witch Hunt crew, and he may be the Crew leader as well." ~  " Mchawi anaweza kuwa mjumbe wa Genge la kumtafuta mchawi, na anaweza akawa ndiye kiongozi wa Genge ." #15: GOD/MUNGU◀   ▶#17: LEADERSHIP/UONGOZI

#16: SORCERER/MCHAWI

Image
"The witch may be the member of the Witch Hunt crew, and he may be the Crew leader as well." ~  " Mchawi anaweza kuwa mjumbe wa Genge la kumtafuta mchawi, na anaweza akawa ndiye kiongozi wa Genge ." #15: GOD/MUNGU◀   ▶#17: LEADERSHIP/UONGOZI

#16: SORCERER/MCHAWI

Image
"The witch may be the member of the Witch Hunt crew, and he may be the Crew leader as well." ~  " Mchawi anaweza kuwa mjumbe wa Genge la kumtafuta mchawi, na anaweza akawa ndiye kiongozi wa Genge ." #15: GOD/MUNGU◀ ▶#17: LEADERSHIP/UONGOZI

#15: GOD/MUNGU

Image
“The power of Creation belongs to Almighty God. If it belongs to a human being, the world will be messy." ~  " Uwezo wa Uumbaji uko kwa Mungu pekee. Kama uwezo huu unge kwa binadamu, dunia isingekalika ." #14: INTELLIGENCE/AKILI ◀ ▶ #16: SORCERER/MCHAWI 

#14: INTELLIGENCE/AKILI

Image
  "We should not hide our intelligence if we really want our society to progress." ~  " Tusifiche akili zetu kama kweli tunataka jamii yetu isonge mbele ." #13: STEP/HATUA◀ ▶#15: GOD/MUNGU

#13: STEP/HATUA

Image
"Every step has meaning. Taking one step is not like not taking a step altogether." ~  " Kila hatua ina maana. Kuchukua hatua moja sio sawa na kutochukua hatua kabisa ."  #12: THIEF/MWIZI◀ ▶ #14: INTELLIGENCE/AKILI

#12: THIEF/MWIZI

Image
"Days of the thief are numbered. When they are complete, there is no way he can escape." ~  " Siku za mwizi huhesabika. Zikikamilika, hakuna anayeweza kukwepa ." #11: RIGHT/HAKI◀ ▶#13: STEP/HATUA

#11: RIGHT/HAKI

Image
"If you have the right to oppose, you also have the right to be opposed." ~  " Kama una haki ya kupinga, pia una haki ya kupingwa ." #10: DISAGREEMENT/KUPINGA ◀ ▶ #12: THIEF/MWIZI 

#10: DISAGREEMENT/KUPINGA

Image
"Don't be annoyed by those who disagree with you because you are also disagreeing with them by refusing to take their side." ~  " Usiumizwe na wanaokupinga kwa sababu hata wewe unawapinga kwa sababu umekuwa tofauti na mawazo yao ." #09: INTELLIGENCE/AKILI ◀ ▶ #11: RIGHT/HAKI 

#09: INTELLIGENCE/AKILI

Image
"Everyone is intelligent. The difference relies on the kinds and usage of our intelligence." ~  " Kila mtu ana akili. Tofauti ni aina na matumizi ya akili zetu ." #08: WELL INFORMED ◀ ▶ #10: DISAGREEMENT/KUPINGA 

#08: WELL-INFORMED/WANAOJUA

Image
"The well-informed men will not help a society to progress if they have not helped those who are not well informed like them." ~  " Wanaojua hawawezi kuisadia jamii iendelee mbele kama hawajawasaidia wale wasiojua .” #07: LEARN/JIFUNZE ◀ ▶ #09: INTELLIGENCE/AKILI 

#07: LEARN/JIFUNZE

Image
"Even if you laugh at the failed person, help him and learn from him." ~  “ Hata kama ukimcheka mtu aliyefeli, baada ya hapo msaidie na kisha kaa chini utafute kitu cha kujifunza kutokana na kushindwa kwake ."  #06: PEOPLE/WATU ◀ ▶ #08: WELL-INFORMED/WANAOJUA 

#06: PEOPLE/WATU

Image
"If you don't believe in the importance of people in this world, walk around the crowded street during the day and meet no one there. Obviously, you will be terrified." ~  " Kama hujali au huamini umuhimu wa watu, tembea katikati ya mji mchana kweupe halafu usikutane na mtu yeyote. Bila shaka utashikwa na kiwewe na utahisi ndio mwisho wa Dunia ."  #05: TRUTH/UKWELI ◀ ▶ #07: LEARN/JIFUNZE